Thursday, September 12, 2013

Ozil aanza rasmi mazoezi Arsenal

Mesut Ozil aanza rasmi mazoezi Arsenal
MCHEZAJI mpya wa Arsenal, Mesut Ozil ameyaanza maisha mapya ya Ligi Kuu England kwa mara ya kwanza tangu asajiliwe akitokea Klabu ya Real Madrid.
Ozil ameoneka akiwa katika mazoezi ya pamoja na wachezaji wenzake wa Arsenal kwenye uwanja mazoezi.
Kiungo huyo ambye ameweka rekodi ya usajili wa bei ghali ya paundi milioni £42.5 (sawa na fedha za Kitanzania bilioni 108. 5


No comments:

Post a Comment