KLABU ya Real Madrid imekaribia kumng’oa Gareth Bale kutoka klabu ya Tottenham hadi Santiago Bernabeu pamoja na Franco Baldini aliyetua White Hart Lane katika msimu huu.
Kuna habari kuwa, Mkurugenzi wa Spurs, ameweka sharti la kutaka mpango huo umhusishe Fabio Coentrao wa Real Madrid huku ikielezwa ndani ya saa 24, kila kitu kitakuwa kimefahamika.
Kama Real Madid itafanikiwa kumtwaa Bale, itakuwa ni kutimia kwa ndoto ya muda mrefu
ya klabu hiyo ambapo uhamisho wake ukitarajiwa kuwa si chini ya pauni mil 80.