Sturridge, Rodgers watwaa tuzo ya mwezi
Sturridge (kushoto), na Kocha Rodgers wakiwa kwa pamoja wameshikilia Tuzo. |
MSHAMBULIAJI wa Liverpool, Daniel Sturridge na Kocha wake Brendan Rodgers wamefanikiwa kupata tuzo ya Mchezaji Bora na Kocha Bora wa Mwezi Agosti katika Ligi Kuu England.
Tuzo hizo wamepata baada ya kushinda kwenye mechi zao zote tatu mfululizo za Ligi hiyo.
No comments:
Post a Comment