Thursday, August 29, 2013

Suarez kurejea ndani ya Old Trafford

Suarez kurejea ndani ya Old TraffordMSHAMBULIAJI Luis Suarez anatarajiwa kuanza mechi yake ya kwanza dhidi ya Man United katika mchezo wa raundi ya tatu kwenye Kombe la Ligi utakaochezwa Sept 24
Mshambuliaji huyo alipewa adhabu ya kutocheza mechi 10  kwa kosa la kumng’ata mchezaji wa Chelsea, Branislav Ivanovic katika msimu wa ligi kuu England uliopita.
Tukio hilo linakuwa la pili kulifanya mshambuliaji huyo kwa kumfanyia kosa la ubaguzi wa rangi Beki wa kushoto wa Man Utd, Patrice Evra.

Mechi nyengine zitakazocheza kwenye hatua hiyo:-
Man Utd v Liverpool
Sunderland v Peterborough
West Ham v Cardiff
Man City v Wigan
Burnley v Nottingham Forest
Newcastle v Leeds
Southampton v Bristol City
West Brom v Arsenal
Swindon v Chelsea
Tranmere v Stoke
Watford v Norwich
Aston Villa v Tottenham
Hull v Huddersfield
Leicester v Derby
Birmingham v Swansea
Fulham v Everton


Mechi hizi zote zitacheza Septemba 24/25

No comments:

Post a Comment