Thursday, August 29, 2013

Podolski nje ya dimba wiki 8

Podolski nje ya dimba wiki 8
MSHAMBULIAJI wa Arsenal, Lukas Podolski atalazimika kukaa nje ya uwanja takiribani  wiki 8 hadi 10 kutoka na majeraha ya misuli ya paja.
Majeraha hayo aliyapata katika mchezo wa kufuzu kushiriki Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Fenerbahce ya Uturuki.

No comments:

Post a Comment