Monday, August 26, 2013

Man City wachapwa 3-2 na Cardiff

Man City wachapwa 3-2 na Cardiff
MABAO mawili ya vichwa yaliyofungwa na Fraizer Campbell na lingine kutoka kwa Aron Gunnarsson yalitosha kuipatia ushindi wa kwanza Cardiff City tangu wapande daraja la Ligi Kuu England.
Huku mabao mawili ya kupoza moyo yakitiwa kambani na Edin Dzeko pamoja na Alvaro Negredo.
Angalia mabao yalivyofungwa

No comments:

Post a Comment