MABAO mawili kutoka kwa mshambuliaji Lukas Podolski dakika 41, 68 na lingine kutoka kwa Olivier Giroud dakika 14yaliiwezesha Arsenal kutoka kifua mbele dhidi ya Fulham, huku bao la kufutia machozi kwa upande wa Fulham likifungwa na Darren Bent aliyetokea benchi dakika ya 77 ya mchezo.
No comments:
Post a Comment