Man Utd kula matapishi ya Pogba
TOVUTI moja ya Kihispania imetoa taarifa ya mshangao kuwa
aliyekuwa kiungo wa Man United Paulo Pogba kwamba anaweza akarejeshwa Old
Trafford.
Mfaransa huyo alijiunga na Juventus msimu wa mwaka jana
majira ya joto.
Hata hivyo, Juve wanaripoti wazi kwamba Juve hawana nia ya
kusikiliza ofa inayotolewa kwa ajili ya kiungo huyo.
Pogba aliondoka United kwa sababu ya kukosa nafasi ya
kucheza kikosi cha kwanza.
Hivyo wataelekeza nia yao ya kumsajili Pogba endapo watakosa
huduma ya Fabregas ambaye Kocha wa Man Utd amesema hawatoongeza tena ofa kwa
kiungo huyo wa Barcelona.
No comments:
Post a Comment