Ligi Kuu ya Vodacom 2013/2014
Kuanza kutimua vumbi Agosti 24
Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) 2013/2014 inaanza kutimua vumbi Agosti 24 mwaka huu kwa timu zote 14 katika miji saba tofauti hapa nchini.
Hata hivyo, kabla ya ligi hiyo kuanza kutakuwa na mechi ya
kufungua msimu (Ngao ya Jamii- Community Shield) kati ya bingwa mtetezi Yanga
na Timu iliyoshika nafasi ya pili ya msimamo naizungumzia Azam itakayochezwa Agosti 17 ndani ya dimba la Uwanja wa Taifa, jijini Dar es
Salaam.
Mechi za VPL za Agosti 14 mwaka huu zitakuwa kama ratiba inavyoonesha hapo chini:-
No comments:
Post a Comment