Man United yapigwa 4-1 na Man city
MABAO manne kutoka kwa Sergio Aguero, Yaya Toure na Samir Nasri yalitosha kuimaliza Man Utd katika mechi ya Ligi Kuu England.
Huku bao la kufutia machozi likifungwa na mshambuliaji wao hatari Wayne Rooney kwa mkwaju wa adhabu ndogo.
No comments:
Post a Comment