Man City yaifumua AC Milan 5-3
Mabao ya Man City yakitiwa kambani na wakali wao David Silva, Aleksandar Kolarov, Micah Richards na Edin Dzeko, Huku mabao ya kufutia machozi kwa upande wa AC Milan yakifungwa na mchezaji wao machachari Stephan El Shaarawy na lengine likifungwa na Andrea Petagna.
Angalia video ya mabao hapa chini
Angalia video ya mabao hapa chini
No comments:
Post a Comment